Watetezi wa Palestina
IQNA - Mjukuu wa mwanasiasa shujaa aliyepinga ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini Nelson Mandela amesisitiza kwamba mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina yanayotekelezwa na Israel hayakuanza Oktoba 7, 2023 baada ya Operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa.
Habari ID: 3478898 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/28
Iran na Afrika
TEHRAN (IQNA)- Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
Habari ID: 3475576 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04
Haki za Binadamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, tuzo ya saba ya mkutano wa kila mwaka wa Haki za Binadamu za Kiislamu atatunukiwa mwandishi wa habari Shahidi Shireen Abu Akleh na Mandla Mandela mpigavita ubaguzi wa rangi wa Apathaidi katika kuwaunga mkono watu wa Palestina.
Habari ID: 3475573 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/03